Thursday, March 21, 2019

Walichokisema Simba baada ya CAF Kuwapangia TP Mazembe

Image result for haji manara

Baada ya kupangwa kucheza na timu ya TP Mazembe katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umesema utakuja na kauli mbiu mpya baada ya mechi ya Stars na Uganda kupita.


Mbao yamchukua Salum Mayanga kocha Mkuu


Image result for salum mayanga


Uongozi wa klabu ya Mbao Umeingia Makubaliano na Salum Mayanga Kuwa Kocha Mkuu 

kuchukua nafasi ya Ally Bushiri Aliyesitishiwa mkataba kutokana na Mwendelezo wa Matokeo mabovu ya klabu hiyo 

Imeelezwa Mayanga amepewa mkataba wa kuifundisha Mbao hadi mwisho wa msimu huu ambapo Mbao imesaliwa na mechi nane za ligi kuu baada ya kucheza michezi 30 hadi sasa

Salum Mayanga pia ameshazinoa timu kama Mtibwa Sugar,Tanzania Prison Timu ya Taifa ya Tanzania kabla nafasi yake Kuchukuliwa na Kocha Mkuu wa Taifa Stars wa sasa Emmanuel Amunike