Baada ya kupangwa kucheza na timu ya TP Mazembe katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umesema utakuja na kauli mbiu mpya baada ya mechi ya Stars na Uganda kupita.
Uongozi wa klabu ya Mbao Umeingia Makubaliano na Salum Mayanga Kuwa Kocha Mkuu
kuchukua nafasi ya Ally Bushiri Aliyesitishiwa mkataba kutokana na Mwendelezo wa Matokeo mabovu ya klabu hiyo
Imeelezwa Mayanga amepewa mkataba wa kuifundisha Mbao hadi mwisho wa msimu huu ambapo Mbao imesaliwa na mechi nane za ligi kuu baada ya kucheza michezi 30 hadi sasa
Salum Mayanga pia ameshazinoa timu kama Mtibwa Sugar,Tanzania Prison Timu ya Taifa ya Tanzania kabla nafasi yake Kuchukuliwa na Kocha Mkuu wa Taifa Stars wa sasa Emmanuel Amunike